Ujue ujazo wa fire extinguisher na aina ya chombo unachotumia
1. Saloon Cars - uwe na 1Kg ya Carbon dioxide au Dry Powder Fire Extinguisher
2. Pickups, Station Wagon na magari yote chini ya ton 3 - uwe na 2 Kg ya Carbondioxide au Dry Powder ya Fire Extinguisher
3. Mabus ya abiria 20 - uwe na 3 - 6kg ya Carbondioxide au Dry Powder Fire Extinguisher
4. Mabus zaidi ya abiria 21 - Uwe na 3 - 6kg ya Carbondkoxide au Dry Powder Fire Extinguisher
5. Malori hadi Ton 7 uwe na d9kg Carbondioxide au Dry Powder Fire Extinguisher
6. Malori zaidi ya Ton 7 - uwe na 9kg Carbondilxide au Dry Powder Fire Extinguisher
Irene Msellem
RSA Tanzania
Post a Comment
Post a Comment