const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); BREAKING: kutoka Gabon, Nahodha Serengeti Boys kaondolewa kwenye orodha - HABARI MPYA

..

BREAKING: kutoka Gabon, Nahodha Serengeti Boys kaondolewa kwenye orodha

michezo ya Kundi B ya michuano ya mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 ambapo zimempata kocha mkuu wa Serengeti Boys Bakari Shime.
Image result for Issa Abdi Makamba
Shime amethibitisha kuwa nahodha wake Issa Abdi Makamba hawezi kucheza michuano ya AFCON U-17 kutokana na kupata majeraha wakati wa mazoezi ya pamoja na wenzake, hivyo hatoshiriki michuano yote na jina lake limeondolewa katika orodha

Related Posts

Post a Comment