const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); DC MBEYA AAGIZA VYANZO VYAMAJI KUWEKEWA BIKONS - HABARI MPYA

..

DC MBEYA AAGIZA VYANZO VYAMAJI KUWEKEWA BIKONS

Post a Comment
Mkuu wa wilaya ya mbeya Wiliam Ntimika amemuagiza mkurugenzi wa halmashauri hiyo Americhior Kwilizira kuweka alama za bikoni katika vyanzo vyote vya maji ili kuendelea kukabiliana na uharibifu mkubwa wa vyanzo vya maji unaoendelea kufanyika na baadhi ya wananchi wasiotaka kutii sheria.


Ameyasema hayo baada ya kupokea taarifa kutoka kikisi kazi maalumu kilichoundwa na makamu wa raisi samia suluu hasani kwaajili ya kulinda hifadhi ya mto ruaha mkuu ambapo ameiagiza kamati ya ulinzi kumkata mwananchi wa kijiji cha itala jacksoni mwangupili aliyevamia chanzo cha maji katika bonde la paboyo na kuufanya shuguli za kilimo pamoja kupanda miti isiyo rafiki na maji.


Mkuu huyo wa wilaya pia amemwagiza mkurugenzi kuwaandikia barua uongozi wa reli ya uhuru tazara kufuatia kuzua mamlaka ya bonde la mto mkoji kufanya uhifadhi wa chanzo cha mto ilonjero kilichopo katika kijiji cha mwakwenje kata ya inyara ili wakutane na kufanya mazungumzo ya pamoja.

Awali mwenyekiti wa kikosi malumu ambaye katibu tawala wa mkoa wa Njombe JACKSONI SAITABAU amemueleza mkuu hutyo wa wilaya kuwa kikosi kazi kimebaini uwepo wa wananchi wananovamia vyanzo vya maji na kukimbia katika vyombo vya sheria ikiwemo mahaka na takukuru  na kupata Baraka za kuendelea kuharibu vyanzo vya maji.


Makamu wa raisi samia suluu hasani akiwa mkoani iringa aliunda kikosi kazi wajumbe 14 ambao wananfuatilia na kubaini sababu zinazosababisha mto ruaha mkuu kushindwa kutiririsha maji kwa mawaka mzima kama ilivyo kuwa awali ambapo sebabu moja wapo ni inayochangia uharibifi wa vyanzo  vya maji  katika mikoa ya njombe na mbeya.



Related Posts

There is no other posts in this category.

Post a Comment