Mchezo wa soka huitwa au husisitizwa kuwa ni “mchezo wa kistaarabu” lakini kwa baadhi ya wachezaji, ni hulka yao kucheza rafu kiasi cha kuwalazimu wachezeshaji wa pambano husika kuwatoa nje ya uwanja kwa kuwaonesha kadi nyekundu.
Kifuatacho ni kikosi kizima cha timu inayoundwa na wacheza hovyo zaidi katika ligi kuu ya soka Uingereza, na nafasi nyengine zina wachezaji wa akiba kabisa.
Golikipa
Jussi Jaaskelainen (kadi 4 nyekundu)
Ulinzi
Mlinzi wa kulia: Younes Kaboul (kadi 6 nyekundu)
Mlinzi wa kati: Richard Dunne (kadi 8 nyekundu)
Mlinzi wa kati: Martin Keown (kadi 6 nyekundu)
Mlinzi wa kushoto: Franck Queudrue (kadi 6 nyekundu)
VIUNGO
Kiungo wa kulia: Steven Gerrard (6 nyekungu)
Kiungo wa kati: Patrick Vieira (kadi 8 nyekundu)
Kiungo wa kati: Vinnie Jones (kadi 7 nyekundu)
Winga wa kushoto: Jason Wilcox (kadi 5 nyekundu)
WASHAMBULIAJI
Mshambuliaji wa kati: Duncan Ferguson (kadi 8 nyekundu)
Mshambuliaji wa kati: John Hartson (kadi 6 nyekundu)
KIKOSI KIZIMA PICHANI

Post a Comment
Post a Comment