const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Video..!! Tazama Jinsi Mrisho Mpoto Alivyomuinua Kitini Rais Magufuli na Kumfanya Amtunze Pesa Kwa Wimbo Huu - HABARI MPYA

..

Video..!! Tazama Jinsi Mrisho Mpoto Alivyomuinua Kitini Rais Magufuli na Kumfanya Amtunze Pesa Kwa Wimbo Huu

Msanii wa muziki wa asili nchini, Mrisho Mpoto amemwinua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli pamoja na waheshimiwa wengine akiwemo Makamu wa Rais wa World Band Afrika, Makhtar Diop katika sherehe ya uzinduzi wa mabasi ya mwendo haraka uliyofanyika Gerezani Kariakoo jijini Dar es salaam.

Related Posts

Post a Comment