Picha ya Vyombo vya Dhahabu Vya Zari Vyazua Gumzo, Kidume chake kipya Chaonekana


Jana usiku Mwana mama Zari aliweka picha ya kuonyesha vyombo alivyo nunua akiwa nchini Dubai.ila gumzo kubwa ikawa ni picha inayo onekana kama imeakisiwa na vyombo ikimuonyesha mwanaume aliyekaa kwa mbali kidogo huku akiangalia simu.Watu wazidi kuhoji ni nani huyo mwanaume.




Related Posts

Post a Comment